Waziri wa Usalama wa Kitaifa Kipchumba Murkomen ameapa kuwa serikali haitalegeza juhudi zake za kuimarisha usalama hasa Kerio Valley, kufuatia mauaji ya kusikitisha ya Kasisi Allois Cheruiyot Bett. Akizungumza katika eneo la Kobujoi, Nandi, Murkomen amewataka wahalifu waache kusumbua wananchi na pia amewaonya wanasiasa wanaopanda mbegu ya chuki kabla ya uchaguzi wa 2027. Gavana Stephen Sang na viongozi wengine wametaka hatua kali dhidi ya wizi wa mifugo eneo hilo.
#FATHERBETT #BETT
Subscribe to my youtube channel: / @KennedyMurithi001
Watch the latest video: / @KennedyMurithi001
—-Social Media— Twitter : KMB media Facebook: kennedyMurithi.3 Youtube: @KennedyMurithi001