KMB Media
Politics

WETANG’ULA: DON’T DIVIDE WESTERN KENYA!

Viongozi wa Kenya kwanza wakiongozwa na spika wa bunge la kitaifa mosese wetangula wamesema hawatakubali kiongozi yeyote kutoka nje na hata eneo Hilo na haswa wale kutoka upinzani kugawanyisha eneo Hilo.Wasema wataendelea kupigania jamii hiyo kwa kuwaleta wabunge wote kutoka eneo Hilo pamoja jamii hiyo inapojipanga kwenye kura za mwaka wa 2027.Viongozi hao wamehapa kusaidia jamii hiyo kujiandikisha kama wapiga kura kwao ndio njia pekee itakayompa rais william ruto kabla ya kuchukua huongozi huo kutoka kwa rais william ruto mwaka wa 2032.

Related posts

TRADERS UNDER SIEGE IN GITHURAI, KIAMBU COUNTY

KMB Media

IS DP KINDIKI QUIETLY POWERING ABURI’S NOPEU PARTY 2027 MACHINE IN MT KENYA?

KMB Media

DIRTY HABITS MAKING KENYANS SICK – PS MARY MUTHONI WARNS

KMB Media

Leave a Comment